SwahiliVideo 2016

Unabii: Nabii wa uongo David Owuor na wasukumizi wake watatupwa mbali katika dhoruba!

Ilichapishwa Agosti 30, 2016 naye Elect of The Endtimes

Ujumbe huu unatumwa kwake nabii wa uongo David Owuor. Bwana ananena nawe: Sikiliza kile kitakachokujia, nabii wa uongo David Owuor, na ninyi, Kenya! Sikilizeni! Mnapewa wito wa kujitenga na nabii huyu wa uongo David Owuor. Huu ni ujumbe wa ufunuzi, wa kuarifisha na wa kinabii wa Mungu, wa kuaminika 100% na unakuja kutoka kwake Mungu wa pekee na wa kweli, YHWH, Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo, Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo, naye aliyeteuliwa na Mungu, mtumishi wa kawaida na Nabii wa nyakati za mwisho, Benjamin Cousijnsen.

Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC