SwahiliVideo 2014

Tahadhari ya kinabii ya Mungu: Nchi nyingi tayari zimeshapigwa; sikiliza ni zamu ya nani!

Ilichapishwa Jan 8, 2015 naye Elect of The Endtimes 

UJUMBE WA MUNGU: NIMESHATEMBELEA NCHI ZOTE TAYARI NA KUWAPA TAHADHARI, ALINENA MALAIKA MTUMISHI WA MUNGU. SIO NCHI ZILIZOTAJWA PEKEE, AMBAZO ZITAKABILIWA NA MASHAMBULIZI YA KUTOKA NJE, ILA PIA ZINATAJWA NCHI, AMBAZO MALAIKA WA MUNGU ‘RADI’ ITABIDI AZIPIGE, KWA SABABU YA KUTOMTII MUNGU. ZAIDI YA HAYO, MALAIKA WA MUNGU ‘RADI’ ANATOA TENA MAELEZO YA KINA KUJIHUSU YEYE MWENYEWE, KWA WALE AMBAO HAWAFAHAMU, AU BADO HAWAJASOMA NDANI YA KITABU CHA ‘RUACHA, YESHU, SHALOM!’, ILA PIA ANASEMA MARA MOJA: NGUVU YANGU INATOKA KWAKE MUNGU, NA SIO YA KUJIONYESHA, KWA SABABU NI NGUVU YAKE MUNGU. BWANA MWENYEZI MUNGU ANANENA! MNAWEZA KUSIKIA YEYE NI NANI, KUPITIA MAANDIKO YAKE; HAIWEZI KUWA WAZI ZAIDI YA HIYO. DUNIA IMETAHADHARISHWA NAYE!

Tafadhali eneza na usibadilishe chochote  © BC