Baadhi ya watu wanaomtumikia Bwana watamuangusha!

Ilichapishwa Oktoba 20, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa ufunuzi na wa kutahadharisha wa Mungu: Kwa sababu Yeye hakuja na hakuja kwenye siku ya Rosh Hashanah, wao basi wakaangusha vitu hivi viwili imani yao na uaminifu wao. Kisha ghafla hatma ikapiga! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Mwambie ibilisi, “Kaa kimya!”

Ilichapishwa Februari 18, 2016 naye Elect of The Endtimes Januari 29, 2016  Ujumbe wa Mungu: Kuwa mnyenyekevu katika maombi na ibada yako, bali inuka kutoka tamaa za mwili wako! Mwenye uwezo ni Adonai, El Elohim, YHWH, Shujaa wako aliye ndani yako, Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo! Soma au sikiliza ujumbe wote. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote […]

Lengo: kumilikiwa kwa Wakristo wengi waliozaliwa mara ya pili!

Ilichapishwa Novemba 29, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa ufunuzi wa Mungu: Ndiyo, umesikia vizuri! Ngome ya shetani shabaha yake ni watu, hasa Wakristo, ili kuharibu mienendo yao ya uaminifu kwa Mungu. Sikiliza au soma ujumbe huu, jinsi gani wanavyotimiza haya! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC