Mungu anazungumza kuhusu Nabii Wake wa nyakati za mwisho

Ilichapishwa Mei 24, 2012 naye Elect of The Endtimes Mungu anasema Yeye ndiye aliyewateuwa Manabii, zamani na hata leo, na pia analiita kanisa, ili mradi liwateuwe Manabii katika siku hizi za mwisho. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Tahadhari kutoka kwa Mungu kwa viongozi wote wa kanisa!

Ilichapishwa Mei 9, 2015 naye Elect of The Endtimes  UJUMBE WA TAHADHARI KUTOKA KWA MUNGU, ULIOTUMWA KWAO VIONGOZI WA KANISA DUNIANI! SIKILIZENI RISALA HIZI ZA MUNGU NA KUTUBU, KWA KUWA MKO HATARINI, IKIWA MTAMSHUTUMU NABII WA MUNGU WA KWELI WA NYAKATI ZA MWISHO! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC