Donald Trump, chaguo erevu la muda lake Lusifa, mpinga Kristo Obama!

Ilichapishwa Novemba 10, 2016 naye Elect of The Endtimes  Huu hapa ni ni ujumbe wa ufunuzi na wa kuarifisha wa Mungu, ambao ni wa kuaminika kikamilifu, 100%, kama ilivyo na risala zote za Mungu, amabazo Nabii Benjamin Cousijnsen hupokea, huandika chini na hupitisha takriban kila siku. Yote amambayo yeye hupitisha hutimia. Risala hizi huwasilishwa na […]

Baadhi ya watu wanaomtumikia Bwana watamuangusha!

Ilichapishwa Oktoba 20, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa ufunuzi na wa kutahadharisha wa Mungu: Kwa sababu Yeye hakuja na hakuja kwenye siku ya Rosh Hashanah, wao basi wakaangusha vitu hivi viwili imani yao na uaminifu wao. Kisha ghafla hatma ikapiga! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Jisikie huru kusema, “Yeshua HaMashiach, YHWH, Yesu Kristo!”

Ilichapishwa Oktoba 3, 2016 naye Elect of The Endtimes Bwana anaelezea jina Lake tena. Kupitia kichekesho, ucheshi unaolinganisha – angalau, kwa baadhi ya watu – ujumbe huu wa Mungu umeletwa kwenu, nakuwasilishwa katika hekima Yake. Ndio, kwa baadhi ya watu itasikika kama ucheshi kwa masikio yao! Mimi Marta, Aaroni wake Benjamin, nilijipinda kutokana na kucheka […]

Kuwa wazi kwa risala takatifu za Mungu!

Ilichapishwa Septemba 7, 2016 naye Elect of The Endtimes Kwa nini kushangaa? Tangu mwanzo, Mungu aliwatuma malaika duniani, na hii pia inafanyika sasa. Na Mungu anazungumza sasa katika siku hizi kwa Nabii wake Benjamin Cousijnsen, kama ilivyokuwa siku za zamani! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Unabii: Nabii wa uongo David Owuor na wasukumizi wake watatupwa mbali katika dhoruba!

Ilichapishwa Agosti 30, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe huu unatumwa kwake nabii wa uongo David Owuor. Bwana ananena nawe: Sikiliza kile kitakachokujia, nabii wa uongo David Owuor, na ninyi, Kenya! Sikilizeni! Mnapewa wito wa kujitenga na nabii huyu wa uongo David Owuor. Huu ni ujumbe wa ufunuzi, wa kuarifisha na wa kinabii wa […]

Licha ya tahadhari nyingi adhabu moja baada ya nyingine zilifuatana kwa kasi!

Ilichapishwa Agosti 25, 2016 naye Elect of The Endtimes Huu ni muhtasari wa adhabu zilizofuatana hivi karibuni kila moja kwa kasi. Kwa sababu licha ya tahadhadi alizotoa mwenyezi Mungu tangia Aprili 18, 2016, unabii ulionenwa juu ya nchi nyingi ulitimia kwa kasi kuu, kwa sababu tahadhari nyingi za Mungu, zilizopokelewa na kupitishwa kwenda nchi mbalimbali […]

Ni wapi alikotoka ‘Allah’

Ilichapishwa Julai 20, 2016 naye Elect of The Endtimes Waarabu wanafahamu vizuri sana kwamba Yahweh – YHWH – ndiye Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo! Wao walitoa jina kwa mungu wao, ambaye ni mungu wa mwezi wa Waarabu, na anakwenda sambamba na Baali kutoka katika Bibilia Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Usikubali namba 666!

Ilichapishwa Mei 11, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa kinabii, wa kutahadharisha na wa kuarifisha wa Mungu: Wale watakaovumilia mpaka mwisho katika Bwana Mungu, mwenyezi na Mfalme wa kweli, wamebarikiwa na ni watakatifu na wanastahili kusifiwa sana kwa ajili ya Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Ufunuo: mipaka yote itafunguka!

Ilichapishwa Mei 24, 2016 naye Elect of The Endtimes Miongoni mwa mambo mengine, London itashangazwa kwa mara nyingine tena, na mipaka yote itafunguliwa! Ujumbe huu wa kinabii na wa kuarifisha wa Mungu uliwasilishwa naye malaika wa Bwana, Restical, kwake Nabii Benjamin Cousijnsen, akiwa ameagizwa naye Yeshua HaMashiach, YHWH, Yesu Kristo wa Nazareti. Tafadhali eneza na […]