Ufunuo: mipaka yote itafunguka!

Ilichapishwa Mei 24, 2016 naye Elect of The Endtimes Miongoni mwa mambo mengine, London itashangazwa kwa mara nyingine tena, na mipaka yote itafunguliwa! Ujumbe huu wa kinabii na wa kuarifisha wa Mungu uliwasilishwa naye malaika wa Bwana, Restical, kwake Nabii Benjamin Cousijnsen, akiwa ameagizwa naye Yeshua HaMashiach, YHWH, Yesu Kristo wa Nazareti. Tafadhali eneza na […]

Ufuatiliaji wa: Hata mle ndani jehanamu nafsi zinakombolewa na kufunguliwa!

Ilichapishwa Julai 8, 2016 naye Elect of The Endtimes Watu wengi hawakuamini kile walichokisikia, waliposikiliza na kusoma ujumbe wa mnamo Julai 6, 2016, ulioitwa: ‘Hata mle ndani jehanamu nafsi zinakombolewa na kufunguliwa!’ Bwana Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo, anarudilia ujumbe mwingine pia katika ujumbe huu. Aidha, ufafanuzi zaidi unafuatia maelezo yake ya ufunuzi, kuhusu neema Yake […]

Hata mle ndani jehanamu nafsi zinakombolewa na kufunguliwa!

Ilichapishwa Julai 6, 2016 naye Elect of The Endtimes Mkristo aliyezaliwa mara ya pili hatakiwi kamwe kusema au kufikiria: “Mtu huyo wa kiume au wa kike anaungua moto wa jehanamu milele!” au “Mtu huyo wa kiume au wa kike ataenda jehanamu kwa sababu ya tia nukta, baada ya nyingine, na nyingine!” Hakika, hebu kamata Biblia […]

Hivi ndivyo wanadamu watawaondosha wenzao baada ya Unyakuzi!

Ilichapishwa Juni 27, 2016 naye Elect of The Endtimes Wakati Unyakuzi – lile Kusanyiko au Kunyakuliwa Mbali – utakapofanyika, wale ‘wageni watokao angani’ watawatawala wanadamu kwa hila na kuwafanya kwenda dhidi ya wenzao, kwa lengo la kuwafanya wanadamu kuwaondosha wenzao! Soma na sikiliza jinsi hii itakavyotokea. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Kimbunga hupita, na waovu huondoka!

Ilichapishwa Juni 2, 2016 naye Elect of The Endtimes Ni wale tu walionikubali Mimi, na kudumisha mwenendo wao na Mimi ndio wataokolewa! Katika uwepo wa Bwana Yesu Kristo, mtumishi na Nabii Wake, Benjamin Cousijnsen, aliandika chini mara moja, maneno yote ambayo Bwana Yeshua HaMashiach, YHWH, Yesu Kristo wa Nazareti, aliyotoa. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote […]

Wewe ambaye unasikiliza sasa, nyoosha mapito yako!

Ilichapishwa Jul 11, 2013 naye Elect of The Endtimes HAKIKA, SEHEMU NDOGO YA DUNIA NA SEHEMU NDOGO YA KUWA MKRISTO ITAELEKEZA KWENDA JEHANAMU! JICHUNGUZE MWENYEWE: SASA JE, UNATAKA KUWA MKWELI NAMNA GANI? Please share and do not change © BC

Adhabu za Mungu ni kali kuliko wakati wowote mwingine awali!

Ilichapishwa Mei 18, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Kinabii na kutaarifu wa Mungu: Mungu anachukia kuabudu sanamu na mambo yasiyo ya asili, na Yeye anaiadhibu dunia vikali zaidi, kama vile haijawahi kutokea kamwe! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Kuwa tayari kwa Unyakuzi, kila siku!

Ilichapishwa Mei 17, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Hakuna kisingizio chochote! Hakika, hebu tubu, kwa kuwa wakati Bwana atakapokuja, ni bora kwamba wewe sio Mkristo kwa jina tu. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC