Funuo kadhaa!

Ilichapishwa Agosti 13, 2016 naye Elect of The Endtimes Katika Ijumaa jioni kabisa, malaika mtumishi wa Mungu alileta funuo zifutazo katika ujumbe huu, mfupi na wa uhakika. Tahadhari ya Mungu kwa nchi kadhaa, na ufunuo kuhusu Kenya na nabii wa uongo Owuor! Pia mtasikia kile kilichotokea katika Gay Pride kule Amsterdam! Tafadhali eneza na usibadilishe […]

Msipotoshwe naye Owuor, huyu roho wa Maitreya pamoja na matendo yake!

Ilichapishwa Februari 11, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa ufunuzi na tahadhari wa Mungu: Mnatahadharishwa, tena! Je, mmeshamwoma huyu nabii, Dk. Owuor, ambaye anawadanganya watu wote, akiwa ameshika Biblia mkononi mwake? Hakika, kuwasili kwake kulikuwa kumepangwa, naye pia anasema: “Mimi ndimi udhihirisho wa Mungu, vile vile pia wa miujiza mingi.” Soma au sikiliza […]

Kiasi kikubwa cha mvua na dharuba kali za upepo zitapiga nchi zilizotajwa!

Ilichapishwa Januari 25, 2016 naye Elect of The Endtimes Ufunuzi, ujumbe wa ufunuzi na kinabii wa Mungu: Nchi kamili ambazo zitaathirika zimetajwa! Na neno la uzito kutoka kwa mwenyezi Mungu pia linapitishwa kwa viongozi wa kanisa, kupitia ujumbe huu. Sikiliza kwa makini. Msidhani kwamba mko salama kutokana na mkono wa Mungu! Soma au sikiliza zaidi […]

Majanga yafuatayo ni ya mwisho!

Ilichapishwa Juni 25, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Nchi ambazo zinakwenda kuathirika zinatajwa sasa kwa usahihi katika ujumbe huu wa ufunuzi, wa kuarifu na wa kinabii wa Mungu. Hakika, ombeni kwamba Mwenyezi awaepushe! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Mungu hatastahimili dhambi!

Ilichapishwa Juni 17, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa kinabii na tahadhari wa Mungu: Yeyote ambaye hataki kusikia, ataangamia! Kwa mara nyingine, hebu angalia kwa makini mwezi wa Juni 2015! Radi, yule mwanangamizi, atasababisha maji mengi, chamchela, dhoruba, na kadhalika. Nini mnachosema… “Mungu ni upendo, la sivyo alivyo Yeye?” Hiyo ni kweli. Bila […]

Kuwa raia wa mbinguni!

Ilichapishwa Mei 20, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa Mungu: Hakika, kuwa raia wa mbinguni na dumisha uhusiano wako na Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Tahadhari kutoka kwa Mungu kwa viongozi wote wa kanisa!

Ilichapishwa Mei 9, 2015 naye Elect of The Endtimes  UJUMBE WA TAHADHARI KUTOKA KWA MUNGU, ULIOTUMWA KWAO VIONGOZI WA KANISA DUNIANI! SIKILIZENI RISALA HIZI ZA MUNGU NA KUTUBU, KWA KUWA MKO HATARINI, IKIWA MTAMSHUTUMU NABII WA MUNGU WA KWELI WA NYAKATI ZA MWISHO! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Laiti Obama angelifungua kinywa chake?

Ilichapishwa Nov 20, 2014 naye Elect of The Endtimes Oktoba 28, 2014 Ujumbe wa tahadhari wa Mungu kuhusu mbinu za mipnga Kristo Obama, ili kuwaondosha watu kutoka njiani! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC