Funuo kadhaa!

Ilichapishwa Agosti 13, 2016 naye Elect of The Endtimes Katika Ijumaa jioni kabisa, malaika mtumishi wa Mungu alileta funuo zifutazo katika ujumbe huu, mfupi na wa uhakika. Tahadhari ya Mungu kwa nchi kadhaa, na ufunuo kuhusu Kenya na nabii wa uongo Owuor! Pia mtasikia kile kilichotokea katika Gay Pride kule Amsterdam! Tafadhali eneza na usibadilishe […]

Taarifa ya kinabii kutoka kwa Mungu kwenda Kenya

Ilichapishwa Agosti 6, 2015 naye Elect of The Endtimes  Huu ni ujumbe wa kinabii na kuarifu wa Mungu kwenda Kenya. Bwana Mungu anasema nanyi leo: Kuweni tayari kwa yale yanayokuja katika nchi yenu! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC