David Owuor, bwana mwigaji na anayeiga mitindo, nabii wa uongo mjanja!

Ilichapishwa Oktoba 12, 2016 naye Elect of The Endtimes Kama mwanasayansi, yeye hufanya mahesabu, na ni mpelelezi mzuri ambaye hutumia vizuri mambo haya. Kupitia vyombo vya habari na mtandao, yeye hupiga hesabu sehemu ambapo tukio linaweza kutokea! Soma au sikiliza ujumbe kamili wa Mungu. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Unabii: Nabii wa uongo David Owuor na wasukumizi wake watatupwa mbali katika dhoruba!

Ilichapishwa Agosti 30, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe huu unatumwa kwake nabii wa uongo David Owuor. Bwana ananena nawe: Sikiliza kile kitakachokujia, nabii wa uongo David Owuor, na ninyi, Kenya! Sikilizeni! Mnapewa wito wa kujitenga na nabii huyu wa uongo David Owuor. Huu ni ujumbe wa ufunuzi, wa kuarifisha na wa kinabii wa […]

Msipotoshwe naye Owuor, huyu roho wa Maitreya pamoja na matendo yake!

Ilichapishwa Februari 11, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa ufunuzi na tahadhari wa Mungu: Mnatahadharishwa, tena! Je, mmeshamwoma huyu nabii, Dk. Owuor, ambaye anawadanganya watu wote, akiwa ameshika Biblia mkononi mwake? Hakika, kuwasili kwake kulikuwa kumepangwa, naye pia anasema: “Mimi ndimi udhihirisho wa Mungu, vile vile pia wa miujiza mingi.” Soma au sikiliza […]