Jisikie huru kusema, “Yeshua HaMashiach, YHWH, Yesu Kristo!”

Ilichapishwa Oktoba 3, 2016 naye Elect of The Endtimes Bwana anaelezea jina Lake tena. Kupitia kichekesho, ucheshi unaolinganisha – angalau, kwa baadhi ya watu – ujumbe huu wa Mungu umeletwa kwenu, nakuwasilishwa katika hekima Yake. Ndio, kwa baadhi ya watu itasikika kama ucheshi kwa masikio yao! Mimi Marta, Aaroni wake Benjamin, nilijipinda kutokana na kucheka […]

Mungu anazungumza kuhusu Nabii Wake wa nyakati za mwisho

Ilichapishwa Mei 24, 2012 naye Elect of The Endtimes Mungu anasema Yeye ndiye aliyewateuwa Manabii, zamani na hata leo, na pia analiita kanisa, ili mradi liwateuwe Manabii katika siku hizi za mwisho. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Unabii: Sikiliza! Bwana anazungumza na dunia!

Ilichapishwa Januari 7, 2015 naye Elect of The Endtimes  MAMBO YA KWANZA YAMETOKEA, NA MAMBO MAPYA NDIO NAWATANGAZIA! MALAIKA MTUMISHI WA MUNGU ALIYALETA MANENO YAKE BWANA KWA NGUVU KUU! BWANA ANAZUNGUMZA MOJA KWA MOJA KABISA NA WATU! HUU NDIO ULE UTULIVU KABLA YA DHORUBA! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Mungu anataka uandike chini na ukumbuke haya mambo 10!

Ilichapishwa Novemba 25, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Hakika, Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo anataka uanadike chini mambo 10 yafuatayo, na uyakumbuke. Hebu soma au sikiliza, na uandike chini! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Mungu hatastahimili dhambi!

Ilichapishwa Juni 17, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa kinabii na tahadhari wa Mungu: Yeyote ambaye hataki kusikia, ataangamia! Kwa mara nyingine, hebu angalia kwa makini mwezi wa Juni 2015! Radi, yule mwanangamizi, atasababisha maji mengi, chamchela, dhoruba, na kadhalika. Nini mnachosema… “Mungu ni upendo, la sivyo alivyo Yeye?” Hiyo ni kweli. Bila […]

Tahadhari kutoka kwa Mungu kwa viongozi wote wa kanisa!

Ilichapishwa Mei 9, 2015 naye Elect of The Endtimes  UJUMBE WA TAHADHARI KUTOKA KWA MUNGU, ULIOTUMWA KWAO VIONGOZI WA KANISA DUNIANI! SIKILIZENI RISALA HIZI ZA MUNGU NA KUTUBU, KWA KUWA MKO HATARINI, IKIWA MTAMSHUTUMU NABII WA MUNGU WA KWELI WA NYAKATI ZA MWISHO! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Niliona chumba cha kanisa kilichojaa punda!

Ilichapishwa Mei 7, 2015 naye Elect of The Endtimes  AGO 30, 2012  KATIKA NDOTO YA MAONO HII BENJAMIN YUKO NJE YA KANISA KWANZA. BAADAYE BENJAMIN ANAANGALIA NDANI YA KANISA, WAKATI MUNGU WA ISAKA, YAKOBO NA ABRAHAMU ANAZUNGUMZA! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote  © BC

Maneno Yake Mungu, matendo Yake hayawezi kutumika kikejeli!

Ilichapishwa Machi 18, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa Mungu: Mtasikia maana ya jina ‘MIMI NDIMI NILIYE’, na Immanueli, na maana ya Yesu, na Kristo, na Yeshua, na maana ya HaMashiach. Zaidi ya hayo, tahadhari kutoka kwake Bwana ili watu wasichukue matendo yote, ambayo Yeye hujidhirihisha Mwenyewe, kibatili, au kikejeli! Tafadhali eneza na […]

Sifa za kinyama zinaoonekana zaidi siku baada ya nyingine!

Ilichapishwa Jan 22, 2015 naye Elect of The Endtimes SIFA ZA YULE ‘MNYAMA’ ZINAENDELEA KUONEKANA ZAIDI SIKU BAADA YA NYINGINE: MASHAMBULIZI YAO MALAIKA WALIOASI NA KUTEKWA KABISA KWA JUMLA KUMEONGEZEKA KWA KIASI KIKUBWA! NA MMOJA ANAONYESHA TABIA ZA KINYAMA, KWA SABABU YA KUTEKWA KABISA NA MAPEPO! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote  © BC