Kuwa tayari kwa Unyakuzi, kila siku!

Ilichapishwa Mei 17, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Hakuna kisingizio chochote! Hakika, hebu tubu, kwa kuwa wakati Bwana atakapokuja, ni bora kwamba wewe sio Mkristo kwa jina tu. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Kama ilivyokuwa katika siku za Manabii wa kale!

Ilichapishwa Machi 15, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa ufunuzi na kuarifisha wa Mungu: Kama ilivyokuwa nao Manabii wa kale, nao malaika watakatifu wa Mungu walileta zaidi ya risala 3,000 hadi sasa, kupitia Nabii Benjamin Cousijnsen. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Mtasikia mambo ambayo hayapo katika Biblia yenu!

Ilichapishwa Aprili 1, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Wakati ndio huu, ya kwamba milango iliyofungwa inafunguliwa na kwamba mmoja anakabiliwa na ukweli wa mbinguni! Soma au sikiliza ujumbe kamili. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Tafuta Ukweli wa Pasaka na hebu vyoga hizo sanamu!

Ilichapishwa Machi 24, 2016 naye Elect of The Endtimes MIMI, MALAIKA MTUMISHI WA MUNGU, NAVYOGA MAYAI NA VISINGURA VYA PASAKA VYA CHOKOLETI, NA SANAMU ZENU ZOTE KATIKA JINA LA YESU KRISTO, AIBU KWENU! ANGALIENI KILE ALICHOWAFANYIA! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Kutafakari

Ilichapishwa Machi 10, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa BWANA ndio uliofanya hili, ambaye mkononi mwake uko uhai wa kila kiumbe na pumzi ya wanadamu wote? Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Pigo kali za kiuchumi duniani ni sehemu ya mpango wa Illuminati!

Ilichapishwa Machi 7, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa kinabii, wa kutaarifisha na wa ufunuzi wa Mungu: Maduka ya rejareja yanalazimika kufunga kwa sababu ya hali ya uchumi wa dunia. Mmoja hataki kusema mambo haya kwa uwazi bali Illuminati wana mipango kubwa ya siku zijazo! Utasikia pia majina ya viongozi wa dunia, miongoni […]

Bwana Mungu wako atang’arisha giza lako, na kukupa msaada!

Ilichapishwa Machi 1, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Hakika, wewe huomba. Lakini pia unapaswa kuamini kwamba Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo, hajabadilika! Soma au sikiliza ujumbe kamili. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Muhuri wa Mungu!

Ilichapishwa Februari 25, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Kwa maana Yeye, Rabbouni wako, ameutia muhuri Wake kwako, kwa kukupa wewe Roho Wake mtakatifu. Hii inamaanisha… Soma au sikiliza ujumbe kamili. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC