Kimbunga hupita, na waovu huondoka!

Ilichapishwa Juni 2, 2016 naye Elect of The Endtimes Ni wale tu walionikubali Mimi, na kudumisha mwenendo wao na Mimi ndio wataokolewa! Katika uwepo wa Bwana Yesu Kristo, mtumishi na Nabii Wake, Benjamin Cousijnsen, aliandika chini mara moja, maneno yote ambayo Bwana Yeshua HaMashiach, YHWH, Yesu Kristo wa Nazareti, aliyotoa. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote […]

Nimesubiri ya kutosha, nisafirishe juu katika mwanga wako, Bwana!

Ilichapishwa Aprili 4, 2016 naye Elect of The Endtimes Je, uko tayari Kunyakuliwa, kunakojulikana pia kama Kusanyiko? Wengi wamekosa subira, lakini baada ya uchunguzi wa binafsi, ukweli kuhusu hali yao huja kwenye mwanga. Jichunguze mwenyewe mara moja kwa msingi wa yale matunda tisa, kama wewe uko tayari Kunyakuliwa! Maandiko yote ya Biblia yalipitishwa katika ujumbe […]

Hakuna kitu kiwezacho kututenganisha na upendo Wake!

Ilichapishwa Februari 4, 2016 naye Elect of The Endtimes Januari 29, 2016  Ujumbe wa Mungu: Maana ninajua hakika kwamba, wala kifo, wala uhai, wala malaika au nguvu nyingine za mbinguni, wala yanayotokea sasa, wala yatakayotokea baadaye, wala mamlaka, wala ulimwengu wa juu, wala wa chini kabisa wala kiumbe kingine chochote hakuna kitakachoweza kututenga na upendo […]

Nguvu ya miujiza ambayo pia inakwenda zaidi ya uelewa wako!

Ilichapishwa Januari 21, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu, uliowasilishwa naye malaika wa Mungu, mwua joka Mikaeli, kwake Nabii Benjamin Cousijnsen. Hakika, kuna nguvu, nguvu ya miujiza ambayo inapita ufahamu wote, pia uelewa wako! Shetani hataki wewe ukomae na kuwa moto mtakatifu ya Mungu. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Msipotoshwe naye Owuor!

Ilichapishwa Januari 14, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa tahadhari wa Mungu: Hakika, Msidanganyike naye Owuor, nabii huyu wa uongo! Kwa kuwa roho ya Maitreya na Owuor zote mbili hizi kweli ni kitu kimoja. Soma au sikiliza zaidi ujumbe wote. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Unabii: Sikiliza! Bwana anazungumza na dunia!

Ilichapishwa Januari 7, 2015 naye Elect of The Endtimes  MAMBO YA KWANZA YAMETOKEA, NA MAMBO MAPYA NDIO NAWATANGAZIA! MALAIKA MTUMISHI WA MUNGU ALIYALETA MANENO YAKE BWANA KWA NGUVU KUU! BWANA ANAZUNGUMZA MOJA KWA MOJA KABISA NA WATU! HUU NDIO ULE UTULIVU KABLA YA DHORUBA! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

UFO iliyofunguliwa naye Obama!

Ilichapishwa Desemba 20, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa ufunuzi wa Mungu: Ujumbe huu mfupi uliwasilishwa neno baada ya lingine naye malaika wa Bwana, Beanpipe, ndani ya jina la Yesu Kristo wa Nazareti, Yeshua HaMashiach, na kuandikwa mara naye Nabii Benjamin Cousijnsen, mtumishi wa Mungu ambaye hupitisha mambo yote yale ambayo YHWH, Mungu […]

Andaa muda wake Mfalme wa wafalme!

Ilichapishwa Desemba 3, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa Mungu: Na wewe je hufanya nini na muda wako? Hakika, watu wengi wakati mwingine husahau kuwa Mungu ni mtakatifu na mwenye uwezo! Ikiwa unataka kupokea baraka juu ya baraka nyingine, unahitajika kuwa mwaaminifu na kuandaa muda wa Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo, Mfalme wa wafalme. […]

Kuahirisha ni kubatilisha!

Ilichapishwa Novemba 12, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Hakika, usiahirishe zaidi tena! Yeye amekuita; wala usiahirishe! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC