Ufuatiliaji wa: Hata mle ndani jehanamu nafsi zinakombolewa na kufunguliwa!

Ilichapishwa Julai 8, 2016 naye Elect of The Endtimes Watu wengi hawakuamini kile walichokisikia, waliposikiliza na kusoma ujumbe wa mnamo Julai 6, 2016, ulioitwa: ‘Hata mle ndani jehanamu nafsi zinakombolewa na kufunguliwa!’ Bwana Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo, anarudilia ujumbe mwingine pia katika ujumbe huu. Aidha, ufafanuzi zaidi unafuatia maelezo yake ya ufunuzi, kuhusu neema Yake […]

Mpinga Kristo Obama hataki ukweli ulipuke!

Ilichapishwa Februari 3, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa ufunuzi na kuarifisha wa Mungu: Huyu baba wa uongo, mpinga Kristo Barack Obama, pia anaufunika ukweli! Soma au sikiliza zaidi kwa ujumbe kamili. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Jiepusheni na hila zote za watu wadanganyifu wa New Age!

Ilichapishwa Machi 12, 2015 naye Elect of The Endtimes  Hakika, New Age inawadanganya na haiwaletei Kristo yule aliye katika mujibu wa Bibilia! Leo, Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo anawafunulia ndani ya ujumbe Wake baadhi ya wadanganyaji wa New Age. Hakika, jiepusheni nao wote! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote  © BC

Hivi ndivyo anavyonena Yeshua HaMasiach, Yesu Kristo, naye mpenda ukatili!

Ilichapishwa Jan 8, 2015 naye Elect of The Endtimes  UJUMBE WA MUNGU: KUPENDA UKATILI KUNATOKA JEHANAMU MOJA KWA MOJA! IJAPOKUWA MPENDA UKATILI HAPA DUNIANI HUPATA ANASA KATIKA TUKIO NA MAUMIVU YA AINA YEYOTE, MAUMIVU YALIYOPO JEHANAMU HAYAWEZI STAHIMILIWA NA KWA HAKIKA HAYANA ANASA! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote  © BC