David Owuor, bwana mwigaji na anayeiga mitindo, nabii wa uongo mjanja!

Ilichapishwa Oktoba 12, 2016 naye Elect of The Endtimes Kama mwanasayansi, yeye hufanya mahesabu, na ni mpelelezi mzuri ambaye hutumia vizuri mambo haya. Kupitia vyombo vya habari na mtandao, yeye hupiga hesabu sehemu ambapo tukio linaweza kutokea! Soma au sikiliza ujumbe kamili wa Mungu. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Baadhi ya watu wanaomtumikia Bwana watamuangusha!

Ilichapishwa Oktoba 20, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa ufunuzi na wa kutahadharisha wa Mungu: Kwa sababu Yeye hakuja na hakuja kwenye siku ya Rosh Hashanah, wao basi wakaangusha vitu hivi viwili imani yao na uaminifu wao. Kisha ghafla hatma ikapiga! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Jisikie huru kusema, “Yeshua HaMashiach, YHWH, Yesu Kristo!”

Ilichapishwa Oktoba 3, 2016 naye Elect of The Endtimes Bwana anaelezea jina Lake tena. Kupitia kichekesho, ucheshi unaolinganisha – angalau, kwa baadhi ya watu – ujumbe huu wa Mungu umeletwa kwenu, nakuwasilishwa katika hekima Yake. Ndio, kwa baadhi ya watu itasikika kama ucheshi kwa masikio yao! Mimi Marta, Aaroni wake Benjamin, nilijipinda kutokana na kucheka […]

Unabii: Nabii wa uongo David Owuor na wasukumizi wake watatupwa mbali katika dhoruba!

Ilichapishwa Agosti 30, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe huu unatumwa kwake nabii wa uongo David Owuor. Bwana ananena nawe: Sikiliza kile kitakachokujia, nabii wa uongo David Owuor, na ninyi, Kenya! Sikilizeni! Mnapewa wito wa kujitenga na nabii huyu wa uongo David Owuor. Huu ni ujumbe wa ufunuzi, wa kuarifisha na wa kinabii wa […]

Ni wapi alikotoka ‘Allah’

Ilichapishwa Julai 20, 2016 naye Elect of The Endtimes Waarabu wanafahamu vizuri sana kwamba Yahweh – YHWH – ndiye Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo! Wao walitoa jina kwa mungu wao, ambaye ni mungu wa mwezi wa Waarabu, na anakwenda sambamba na Baali kutoka katika Bibilia Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Baada ya kuondoa shenga ya RFID sumu hutoka!

Ilichapishwa Julai 4, 2016 naye Elect of The Endtimes Sikiliza kile shenga ya RFID inatumiwa kufanya na upate kutahadharika! Huu ni ujumbe wa ufunuzi wa Mungu kuhusu shenga ya RFID, ambayo imetiwa ndani ya watu, na jinsi Illuminati inatumia hizi kwa ajili ya udhibiti wa jumla wa wanadamu. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Mungu anazungumza kuhusu Nabii Wake wa nyakati za mwisho

Ilichapishwa Mei 24, 2012 naye Elect of The Endtimes Mungu anasema Yeye ndiye aliyewateuwa Manabii, zamani na hata leo, na pia analiita kanisa, ili mradi liwateuwe Manabii katika siku hizi za mwisho. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Adhabu za Mungu ni kali kuliko wakati wowote mwingine awali!

Ilichapishwa Mei 18, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Kinabii na kutaarifu wa Mungu: Mungu anachukia kuabudu sanamu na mambo yasiyo ya asili, na Yeye anaiadhibu dunia vikali zaidi, kama vile haijawahi kutokea kamwe! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Kuwa tayari kwa Unyakuzi, kila siku!

Ilichapishwa Mei 17, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Hakuna kisingizio chochote! Hakika, hebu tubu, kwa kuwa wakati Bwana atakapokuja, ni bora kwamba wewe sio Mkristo kwa jina tu. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Ufunuo wa Mungu: Benjamin Cousijnsen ni zaidi ya Nabii wa kawaida wa Mungu!

Ilichapishwa Februari 29, 2016 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa ufunuzi wa Mungu: Huu hapa ni ufunuo kutoka kwake Mungu kuhusu asili yake ya kweli Nabii Benjamin Cousijnsen. Yeye ni zaidi ya Nabii! Hii imefunuliwa kwenu leo hii; wakati wake sasa umewadia, alinena malaika wa Bwana. Mtapata, miongoni mwa mambo mengine, pia kusikia au […]