Yeye huona kupitia macho yako!

Ilichapishwa Julai 16, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Kwa hiyo, kuwa msafi mbele Zake, vile vile pia katika njia zako! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Ujumbe wa Mungu: Kama Mkristo usiwe na umbeya!

Ilichapishwa Julai 9, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Hakika, jiweke mwenyewe mara moja katika nafasi ya jirani yako! Ungehisije kama mmoja angekuumiza au kukutuhumu, na kukufanyia masihara na kusema mambo, ambayo ni uongo? Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Futa na acha nje jina lililofunikwa la shetani!

Ilichapishwa Juni 18, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa ufunuzi wa Mungu: Hivi ndivyo anavyonena Bwana, Mfalme wa wafalme wako, YHWH, Yeshua HaMashiach, El Elohím, Adonai, Yesu Kristo wa Nazareti: Wanasema Allah, lakini Allah ndiye mungu wa vurugu na chuki na mateso ya Wakristo, na jina la kufunikiza la shetani. Wacheni hii ifungue […]

Mungu hatastahimili dhambi!

Ilichapishwa Juni 17, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa kinabii na tahadhari wa Mungu: Yeyote ambaye hataki kusikia, ataangamia! Kwa mara nyingine, hebu angalia kwa makini mwezi wa Juni 2015! Radi, yule mwanangamizi, atasababisha maji mengi, chamchela, dhoruba, na kadhalika. Nini mnachosema… “Mungu ni upendo, la sivyo alivyo Yeye?” Hiyo ni kweli. Bila […]

Yawezekana hii kuwa nafasi yako ya mwisho?

Ilichapishwa Juni 11, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Wakristo wengi husikiliza mafundisho ya uongo kupitia kanisa zao. Hakika, dalili na athari za nyakati mwisho, na onyo za nabii Benjamin Cousijnsen, zinaweza kuwa onyo yako ya mwisho kwako wewe, na nafasi ya kuifanyia kazi uhusiano wako na Yeshua HaMashiach, Isa, Yesu Kristo! […]

Mahubiri yangu bado ni yale yale!

Ilichapishwa Juni 4, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa Mungu: Hakika, hakuna yeyote wa kutegemewa kama Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo!. Kwa sababu yale ambayo Yeye alihubiri miaka 2000 iliyopita, yeye bado anahubiri! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Sio kila mtu anaelewa njia zako!

Ilichapishwa Mei 28, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa Mungu: Kuweni imara, chochote kile kitakachotokea! Usitarajie kila mtu kuelewa njia yako ya maisha na kuelewa chaguo za Mungu. Bwana anaongea kuhusu yeye aliyetiwa mafuta Wake, mashahidi wawili, miti ya mizaituni miwili inayosimama mbele ya Bwana wa dunia! Zaidi ya hayo, Bwana, Adonai, El […]

Acheni Onyesho hilo!

Ilichapishwa Mei 25, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa Mungu: Tahadhari ya Mungu dhidi ya Maonyesho ya tamasha za Kikristo na injili ya ufanisi. Tubuni haya Maonyesho yenu ya tamasha za Kikristo na injili ya ufanisi ya kila kitu-ni-upendo! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Na jina langu ni Yeshua HaMashiach, Isa Masihi, Yesu Kristo!

Ilichapishwa Mei 21, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa Mungu: Ndani Yake pekee ndipo ulipo ukweli kamili! Na nje Yake, Yesu Kristo, zipo njia nyingi zinazopotosha, ambazo huwafanya watu wengi kwenda chini! Yeshua HaMashiach ina maanisha Yesu Masihi katika Kiebrania/Kiaramia, anaitwa pia Isa Masihi, ambayo pia inamaanisha Yesu Kristo katika Kiarabu. Tafadhali eneza […]