Fagilia mbali yaliopita na utapata uzoefu wa baraka za Mungu!

Ilichapishwa Machi 31, 2016 naye Elect of The Endtimes Ikiwa umefagilia mbali yaliopita ndio tu, utakapobarikiwa. Vinginevyo yule mwovu atashinda akikusumbua! Katika ujumbe huu wa Mungu utasikia jinsi gani unaweza kufanya hivyo kwa uthabiti, kwa msaada wa Mungu. Soma au sikiliza ujumbe kamili. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Andaa muda wake Mfalme wa wafalme!

Ilichapishwa Desemba 3, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa Mungu: Na wewe je hufanya nini na muda wako? Hakika, watu wengi wakati mwingine husahau kuwa Mungu ni mtakatifu na mwenye uwezo! Ikiwa unataka kupokea baraka juu ya baraka nyingine, unahitajika kuwa mwaaminifu na kuandaa muda wa Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo, Mfalme wa wafalme. […]

Hivi ndivyo itakavyokuwa naye mwadilifu, na hivi ndivyo itakavyokuwa naye mwovu!

Ilichapishwa Novemba 5, 2015 naye Elect of The Endtimes  Ujumbe wa Mungu: Hakika, hebu tafakari ujumbe huu ikiwa unataka kuitunza baraka Yake katika maisha yako! Alinena malaika mtumishi wa Mungu, baada ya kuwasilisha kwa uangalifu maneno yote ambayo nabii Benjamin Cousijnsen aliandika chini mara moja, akiwa ameagizwa naye Bwana Yesu Kristo wa Nazareti. Tafadhali eneza […]

Wape watoto wako pia baraka hii!

Ilichapishwa Aprili 25, 2015 naye Elect of The Endtimes Ujumbe wa Mungu: Hakika, mpe mtoto wako Baraka hii, alinena malaika mtumishi wa Mungu, na pia unaweza kumuuliza Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo, akupe ulinzi Wake, katika usahili wote kwa maneno yako mwenyewe, katika sala kama hii. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Sala la baraka kwa ajili ya vikundi vya nyumbani duniani kote!

Ilichapishwa Oct 30, 2014 naye Elect of The Endtimes Bwana anabariki vikundi vya nyumbani! Benjamin, mtumishi wa Mungu, anaomba na kutamka baraka juu ya vikundi vya nyumbani, akiwa ameagizwa na Mungu, kile ambacho Bwana mwenyewe, Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo, ameidhinisha! Angalia pia: sehemu ambazo vikundi vya nyumbani vitakuwa vinafanyika https://www.evangelicalendtimemachine.com/places-where-house-groups-are-being-held/ Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © […]

Unabii: Kunyakuliwa, ule Mkusanyiko, umeshafunuliwa!

Ilichapishwa Ago 14, 2014 naye ElectofTheEndtimes JAN 18, 2013  UFUNUO WA KINABII WA MUNGU: MALAIKA MTUMISHI WA MUNGU ALIPITISHA KILA NENO KATIKA UJUMBE HUU! IMESHAFUNULIWA KWAKE MWANA WA MUNGU NA MALAIKA, NA UFUNUO KUHUSU KAMBI ZA FEMA! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC

Nchi nyingi sasa zinaenda kuwa na wakati mgumu!

Ilichapishwa kwenye Ago 13, 2014 naye ElectOfTheEndtimes TAARIFA YA KINABII, 100% KUTOKA KWAKE MUNGU, MUNGU WA ABRAHAMU, ISAKA NA YAKOBO, NA ILIPITISHWA KWAKE NABII BENJAMIN COUSIJNSEN. SIKILIZENI DUNIA, NCHI NYINGI SASA ZINAENDA KUWA NA WAKATI MGUMU SANA! MVUA KUU NA CHAMCHELA ZILIZO NA NGUVU ZAIDI AMBAZO HATUJAWAHI KUZIONA TENA! HAKIKA, TUBUNI! Tafadhali eneza na usibadilishe […]

Jichunguze mara moja! Nani mimi? Ndio, wewe hapo!  

Ilichapishwa Ago 13, 2014 naye ElectOfTheEndtimes MEI 20, 2014  ONYO YA KINABII NA UFUNUO WA MUNGU KWA NCHI NYINGI AMBAZO TAYARI ZIMESHAONYWA, NAYE MUNGU WA ABRAHAMU, ISAKA NA YAKOBO: HIVI NCHI NYINGI ZINAONYWA TENA! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC