SwahiliVideo 2015

Sio kila mtu anaelewa njia zako!

Ilichapishwa Mei 28, 2015 naye Elect of The Endtimes 

Ujumbe wa Mungu: Kuweni imara, chochote kile kitakachotokea! Usitarajie kila mtu kuelewa njia yako ya maisha na kuelewa chaguo za Mungu. Bwana anaongea kuhusu yeye aliyetiwa mafuta Wake, mashahidi wawili, miti ya mizaituni miwili inayosimama mbele ya Bwana wa dunia! Zaidi ya hayo, Bwana, Adonai, El Elohím, Tz’va’ot, Bwana Mungu wako, pia anaashiria kwamba Yeye mwenyewe ndiye Mchapishaji wa wa neno na sheria Zake, na anahifadhi haki zote za kurekebisha zote mbili hizi Biblia na sheria!

Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC