SwahiliVideo 2016

Msipotoshwe naye Owuor, huyu roho wa Maitreya pamoja na matendo yake!

Ilichapishwa Februari 11, 2016 naye Elect of The Endtimes

Ujumbe wa ufunuzi na tahadhari wa Mungu: Mnatahadharishwa, tena! Je, mmeshamwoma huyu nabii, Dk. Owuor, ambaye anawadanganya watu wote, akiwa ameshika Biblia mkononi mwake? Hakika, kuwasili kwake kulikuwa kumepangwa, naye pia anasema: “Mimi ndimi udhihirisho wa Mungu, vile vile pia wa miujiza mingi.” Soma au sikiliza ujumbe kamili.

Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC