Ilichapishwa Machi 18, 2015 naye Elect of The Endtimes
Ujumbe wa Mungu: Mtasikia maana ya jina ‘MIMI NDIMI NILIYE’, na Immanueli, na maana ya Yesu, na Kristo, na Yeshua, na maana ya HaMashiach. Zaidi ya hayo, tahadhari kutoka kwake Bwana ili watu wasichukue matendo yote, ambayo Yeye hujidhirihisha Mwenyewe, kibatili, au kikejeli!
Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC