SwahiliVideo 2016

Kiasi kikubwa cha mvua na dharuba kali za upepo zitapiga nchi zilizotajwa!

Ilichapishwa Januari 25, 2016 naye Elect of The Endtimes

Ufunuzi, ujumbe wa ufunuzi na kinabii wa Mungu: Nchi kamili ambazo zitaathirika zimetajwa! Na neno la uzito kutoka kwa mwenyezi Mungu pia linapitishwa kwa viongozi wa kanisa, kupitia ujumbe huu. Sikiliza kwa makini. Msidhani kwamba mko salama kutokana na mkono wa Mungu! Soma au sikiliza zaidi kwa ujumbe kamili.

Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC