SwahiliVideo 2016

Jisikie huru kusema, “Yeshua HaMashiach, YHWH, Yesu Kristo!”

Ilichapishwa Oktoba 3, 2016 naye Elect of The Endtimes

Bwana anaelezea jina Lake tena. Kupitia kichekesho, ucheshi unaolinganisha – angalau, kwa baadhi ya watu – ujumbe huu wa Mungu umeletwa kwenu, nakuwasilishwa katika hekima Yake. Ndio, kwa baadhi ya watu itasikika kama ucheshi kwa masikio yao! Mimi Marta, Aaroni wake Benjamin, nilijipinda kutokana na kucheka niliposikia na niliposoma, na nilipojionea mwenyewe. Hata hivyo ujumbe huu ni una uzito sana. Kwa hiyo hamtasahau haraka hivyo!

Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC