SwahiliVideo 2015

Furahini katika Bwana, shangilieni na kucheka!

Ilichapishwa Aprili 12, 2015 naye Elect of The Endtimes

Je, furaha ya Bwana pia ni nguvu yako? Cheka, shangilia, tazama yanayokuja mbele yako mbinguni, na utaweza kushangilia! Malaika mtumishi wa Mungu pia alitoa vichekesho vichache. Huu ni ujumbe wenye uzito, wa kweli wa Mungu, ambao unaweza kukufanya uwe na furaha ya kweli! Unasema nini? Naam, naam, Nadhani haya ni masihala ya siku ya upumbavu ya Aprili Mosi! Hapana, kweli, haya sio masihala, na wala hakuna anaye kupumbaza! Bwana daima huruhusu ukweli kamili, neno baada ya lingine, ambao huwasilishwa kwake nabii Benjamin Cousijnsen, ambaye daima huandika kila kitu kwa uaminifu katika uwepo wa malaika mtumishi wa Mungu, na yale aliyoyaagiza Bwana Yeshua HaMashiach, Yesu Kristo mwenyewe.

Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC