SwahiliVideo 2016

Funuo kadhaa!

Ilichapishwa Agosti 13, 2016 naye Elect of The Endtimes

Katika Ijumaa jioni kabisa, malaika mtumishi wa Mungu alileta funuo zifutazo katika ujumbe huu, mfupi na wa uhakika. Tahadhari ya Mungu kwa nchi kadhaa, na ufunuo kuhusu Kenya na nabii wa uongo Owuor! Pia mtasikia kile kilichotokea katika Gay Pride kule Amsterdam!

Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC