Kabla ya ndege MH17 kuanguka, walichukuliwa mbali!

Ilichapishwa kwenye Jul 27, 2014 naye Elect of The Endtimes NENO LA UFUNUO LA KUTIA MOYO NA KULETA FARAJA, LILILOPOKELEWA NAYE NABII BENJAMIN COUSIJNSEN. PAMOJA NA: KABLA YA NDEGE MH17 KUANGUKA, KULIKUWEMO WATU WENGI WALIOCHUKULIWA KUTOKA MIILI YAO… WALINYAKULIWA GHAFLA! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC  

Usisubiri hadi kuchelewa kabisa!

Ilichapishwa March tarehe 13, mwaka wa 2014 naye Elect of The Endtimes CHAGUA SASA KUWA MKALI, FANYA CHAGUO LAKO: MBINGUNI AU JEHANAMU! TAARIFA HIZI ZA MUNGU, ZIMELETWA KWAKE NABII WA SIKU ZA MWISHO BENJAMIN COUSIJNSEN, ZOTE ZIMELETWA NDANI YA JINA LA YESU KRISTO KUPITIA MALAIKA WA MUNGU! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC  (Please […]

Mandela alifanya, kwa kumsisitizia Obama, chaguo lake!

Published on March 6, 2014 by Elect of The Endtimes UJUMBE WA KINABII NA UFUNUO WA MUNGU: MANDELA ALIVUTIWA SANA NAYE HUYU MPINGA KRISTO NA KUFANYA CHAGUO LAKE, HII ILISABABABISHA KUAMULIWA SEHEMU ALIYOKUSUDIWA KWENDA YA MWISHO! UNASIKIA ULE UKWELI KUHUSU KUAGA KWAKE! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC  

Sikilizeni, Africa nzima, mkono wa mungu unaenda kuwaadhibu!

Ilichapishwa kwenye Feb tarehe 27, 2014 naye ElectOfTheEndtimes UJUMBE WA KINABII WA MUNGU: SIKILIZENI, AFRIKA NZIMA, MKONO WA MUNGU UNAENDA KUADHIBU AFRIKA NZIMA, KWA SABABU YA VILE MNAVYO ABUDU SANAMU NYINGI NA MATENDO YENU! NA HATA INGAWA MNAMKUMBUKA SANAMU WENU, KUMKATAA BWANA MWENYEWE KUNALETA KUTENGANA NA KIFO! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC  

Timizo za kinabii & Angalia kile desemba mwaka wa 2013 & wa 2014 utaleta!

Ilichapishwa kwenye Feb 20, mwaka wa 2014 naye ElectOfTheEndtimes MWENYEZI MUNGI ANAKUONYESHA WEWE NDANI YA UJUMBE HUU BAADHI YA TIMIZO ZA KINABI, NA KUTANGAZA KUPITIA NABII WAKE BENJAMIN COUSIJNSEN, KWAMBA MILANGO YA MAFURIKO YA MBINGUNI INAENDA KUFUNGUKA DESEMBA MWAKA WA 2013 NA NDANI YA 2014! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC  

Benjamin ‘anaita’ kama Yohane siku hizo!

Ilichapishwa kwenye Feb 12, mwaka wa 2014 naye ElectOfTheEndtimes “WASEMA NINI KUJIHUSU WEWE MWENYEWE?” ALIULIZWA YOHANE SIKU HIZO. HIVI NDIVYO NAYE NABII BENJAMIN COUSIJNSEN ATAKAVYOKUPA JIBU SAWA KAMA LILE LA YOHANE, KWA SABABU HIVI NDIVYO, PIA MTUMISHI WA MUNGU ANAVYOMSHUHUDIA YESU KRISTO! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC  

Pia mwaka wa 2014 hakuna ambaye atakayetaka kuukumbuka!

Ilichapiswa Jan 31, 2014 naye Elect of The Endtimes HUKUMU ZA KINABII ZA MUNGU ZILIZOTIMIA HIVI KARIBUNI, NA: 2013 NA 2014 NI MIAKA, AMBAYO HAKUNA MMOJA ATAKAYETAKA KUIKUMBUKA! MILANGO YA MAFURIKO YA GHADHABU YA MUNGU INAENDA KUSHUKA DUNIA YOTE! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC  

Ufunuo wa kinabii: Yule roho wa kupotosha wa Maitreya!

Ilichapishwa Jan tarehe 16, mwaka wa 2014 ElectOfTheEndtimes Kwenye Mei tarehe 4 mwaka wa 2013 FUNUO ZA KINABII NA TAHADHARI KUTOKA KWAKE MWENYEZI MUNGU KUHUSU YULE ROHO WA KUPOTOSHA WA MAITREYA! HUYU ROHO NA OWUOR KWELI WAPO ROHO MOJA, NAFSI NA MWILI! HUYU NI ROHO MWENYE NGUVU ZA KUPOTOSHA! Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © […]

Ujumbe wa kinabii wa mungu: Kuongezeka kwa shenga ya RFID!

Ilichapishwa Jan tarehe 3, mwaka wa 2014 ElectOfTheEndtimes MARA NYINGINE TENA MUNGU WA ABRAHAMU, ISAKA NA YAKOBO ANAONYA DUNIA, MSIKUBALI SHENGA YA RFID, ALAMA HIYO YA HUYO MNYAMA, ILE AMBAYO ITAKUFANYA WEWE KUANGAMIA MILELE, KWA SABABU WAKATI HUO UTAKUWA MALI YA SHETANI. Tafadhali eneza na usibadilishe chochote © BC